Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,053
- 7,264
Physics sio mchezo jaman kuweni makini
Wenzako hizo tushasoma sanaAU SIOO....MKALIII...We endelea kusoma hiyo physx
...wenzioo tunasoma RICH DAD'S CASHFLOW QUADRANT.........
....
Good....boee..........Wenzako hizo tushasoma sana
1. Rich dad poor dad
2. Why we want you to be rich
3. Cash flow quadrant
4. Why A student works for C student and B student works for the government
5. Who took my money
6. Business school for those who likes helping people
Vyote hivi nimesoma, baadhi nmevirudia juzi juzi.
kama unataka kuelewa bulb inawakaje, umeme unafikaje kwenye bulb n.k rudi usome tena utaenjoy
Tafuta na karmasutra final edition ukimaliza hicho unakua enlightened beingVitabu vya wanawake nimesoma sana sana sana 😄😄😄😄 enzi hizo ujana mwingi, nmesoma vya kuwatongoza, kuishi nao na kushawishi
Mfano
Tulikotoka wewe ndio unakokwemda
- Seduction by Robert Green
- Men are from Mars women are from venus
- Covert persuation technique
- Alpha male
- Dark psychology and manipulation
- An introduction to NLP technique
- Brainwashing and propaganda
- Body language
- Verbal judo
Enzi hizo nilisoma lakini mechanism ya bulb kuwaka haikuwepoNi dhahiri ulipitisha pitisha macho kwenye Modern Physics enzi hizo..
Sasa endelea kujisomea kwa deep zaidi, uzuri hauna stress za pepa kama enzi hizo
Mzee mimi kamasutra nisome ya kazi gani? Wakati physiology na anatomy nilisomaTafuta na karmasutra final edition ukimaliza hicho unakua enlightened being
Umesoma physiology anatomy ila kamasutra is more spirutual soma hio ukimasta ukikufa unakua mzimu au utataka upumzike kwa amani baada ya kutangulia?Mzee mimi kamasutra nisome ya kazi gani? Wakati physiology na anatomy nilisoma
Labda unipe kitabu kingine ila sio hicho
Kwa wale mnaopenda kuelewa na kuchunguza mambo, hasa hasa kama ulisoma physics advance,
Mimi ni msomaji mzuri wa vitabu, hii ndio starehe yangu, ila sikuwahi kujua kuwa PHYSICS ni somo tamu sana maana nilikuwa nikilisoma kwa kukalili ilimradi nifaulu tu,
Basi juzi kati nimemkuta dogo mmoja ameshikilia kitabu cha physics maarufu kama ABBOT (niliwahi kukitumia enzi hizo ila kimagumashi kwa kukalili na kusolve vijimaswali) nilimuomba akaniazimisha nkawa nmehamasika kujua betri inatengenezwa vipi, na inafanyaje kazi,
Aisee nmejikuta nasoma karibia kitabu chote kuanzia current electricity, wave motion, light, electromagnetism n.k
Dogo kachukua kitabu chake nkaona isiwe tabu acha nizame mtandaoni nkapakua kitabu kimoja kinaitwa UNIVERSITY PHYSICS AND MODERN PHYSICS,
Nnmeanza na topic inaitwa ELECTRIC CURRENT yaani wakuu it is very interesting kitabu kinanihamasisha nisome zaidi na zaidi 😄😄😄 alafu kumbe kutengeneza umeme au betri sio kazi ngumu endapo utakuwa na material kidogo pamoja na kemikali,
Wakuu hebu jaribuni kusoma tena physics it is very interesting.
Kupata three sio shida ni kuielewa mbona waliopata A wengi Sana ila sio kuelewa kufaulu si kusolve calculation tuNimekuja kugundua wanafunzi wanaiona physics ni ngumu kwa sababu walimu wenyewe hawaielewi, na haonwanafunzi wakipata division three wanaenda kusomea ualimu wa physics na wao watawafundisha wanafunzi kimagumashi cycle inaendelea,
Lakini wanafunzi wangekuwa wanafundishwa na watu wanaoielewa physics mbona wangelipenda somo,
Mfano mimi enzi hizo nasoma mwalimu alifundisha topic moja tu mwaka mzima
Unaelewa nini kuhusu neuroplasticity?Kutanuka kwa ubongo ni madhara kwenye ubongo kama jinsi kutanuka kwa moyo ni madhara kwenye moyo. (Health effects).
Stafuta kitabu soma zaidi ujifunze usiishie kugoogle tu
Mi pia mwalimu wangu aliitumia hiyo... Baada ya hapo unakuta anawatia moyo kuwa mnaweza, 😁😁"Physics sio makalio kwamba kila binadamu anayo" nimemkumbka sir wa somo husika advance. Lol
Stafuta kitabu soma zaidi ujifunze usiishie kugoogle tu
walimu bhana mikwara mingi mno, ila kwa physMi pia mwalimu wangu aliitumia hiyo... Baada ya hapo unakuta anawatia moyo kuwa mnaweza,