Wakuu njooni hapa mniokoe...

Wakuu njooni hapa mniokoe...

Solo Traveller

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,720
Reaction score
5,177
Wakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo

Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu.

Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe kuonana na mkuu wa chuo.

Wakuu hiyo njia inaweza kuwa sawa au itacost?
 
Fikiria juu yawatu ambao watakua wamevutiwa natukio lako lakujitupa chini wakachukulia kama fulsa yawao kupata views wengi mtandaoni.
 
Mkuu wako wa chuo yupo hapa jf, kishasoma hii mbinu yako.....utatimuliwa kijana.
 
sheria zenu za vyuon zinawatak mfanye registration wiki sita za mwanzo mnapuuzia sasahiv mwishon huku mnakuja kuteseka na kutaka watu wazime moto. Timiza wajibu wako upate haki yako.
 
Wakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo

Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu.

Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe kuonana na mkuu wa chuo.

Wakuu hiyo njia inaweza kuwa sawa au itacost?
Clean cut, you die man should die.
 
Fata taratibu watanzania sio wazungu watakuacha ujirushe na ufe
Waliwahi kumkwepa diamond aliporuka na kupaa angani alipotua kwao walimkwepa usiwaamini
 
Wakuu nasoma chuo X hapa dar
Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo

Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu.

Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe kuonana na mkuu wa chuo.

Wakuu hiyo njia inaweza kuwa sawa au itacost?
HII NI ARDHI UNIVAAAAAAA
 
Em fatilia tena.
 
Back
Top Bottom