side hustle

Side Hustle is an American buddy comedy television series created by Dave Malkoff that premiered on Nickelodeon on November 7, 2020. It lasted two seasons, with the final episode airing on June 30, 2022. The series stars Jules LeBlanc, Jayden Bartels, Isaiah Crews, Mitchell Berg, and Jacques Chevelle.

View More On Wikipedia.org
  1. Koffi Annan

    JamiiForums Tanzania Wakuu nishaurini 'side hustle' ya kufanya kwa Dodoma

    Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

    Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu! Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania jana nilileta uzi wa kulia lia kuwa duka langu lina mauzo madogo, sasa nimeona kulia lia hakuna suluhisho, nafikiria kujibana na nianzishe side hustle

    Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/ Leo👇 OMBI LANGU KWENU WANA JF Sihitaji kuomba kukopeshwa humu wala msaada wa fedha bali maarifa kuhusu...
  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Napendelea sana ufugaji wa kuku kama side hustle, nisaidieni mawili matatu, nimetenga tsh 3m

  5. Investaa

    JamiiForums Tanzania Side hustle business idea!

    Wasee habari ! Leo nimeona ni share na wewe side hustle business idea ambayo inaweza kukupa pesa instead of kuzurura mtandao bila tija si sawa. Juzi kati baada ya pot la pressure cooker kuzingua ikabd niingie front kulitafuta replacement kama nitapata kule facebook marketplace , sikupata lile...
  6. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  7. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Miliki Sasa App/Site ya Kuuzia Digital Files Online - File Moja Uza kwa Wengi

    Want to own an app/site for Selling eBooks, PDFs, Magazines, Exams, Photos, Drawings, Music, Software, and More to thousands of customers online? We offer a ready-to-use web system that you can fully own! 📲 +255 657 685 268 🔥 Powerful Features Included: ✔ Instant Payments & Downloads –...
  8. Isenye

    JamiiForums Tanzania Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Mko vizuri wakubwa? Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato? Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...
  9. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  10. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ‘Soft Life’: Ni Lazima Kila Mtu Aishi Maisha ya Kifalme?

    Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila chakula kwenye migahawa ya kiwango cha juu, na safari za anasa ni sehemu ya ratiba yao. Lakini swali ni...
  11. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Niaje Kuwa na ‘Side Hustle’? Kutafuta Hela Zaidi au ni Kukosa Tamaa?

    Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha bora au ni tamaa tu ya kutoridhika na mshahara wa mwezi? Kila mtu anapambana kutafuta hela za...
Back
Top Bottom