Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,680
- 5,653
POLE🤓 KUNYWA PANADOL UTULIZE MAUMIVU
Muulize hii laki tano umpe nani sasa kama yeye haji?View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
Atafute hela huyu Kijana hizi lawama hazikuwepo tena 😀Safi sana, hii nimeipenda😂😂
Kweli kabisa, find money first, fall in love laterAtafute hela huyu Kijana hizi lawama hazikuwepo tena 😀
Hakuna mwanamke anayefall in love kwa sababu ya muonekano na huruma ya mwanaumeKweli kabisa, find money first, fall in love later
Hakika mkuu, upo sahihi mkuuHakuna mwanamke anayefall in love kwa sababu ya muonekano na huruma ya mwanaume
😂😂😂😂😂Pole sana ila elewa kwamba Mwanamke havutiwi na muonekano na kujali kwako. Huwa anavutiwa na kile ulicho nacho tafuta hela za kutosha sio elfu tatu ya nauli na Chipsi Kuku na soda utateseka sana