we jamaa una sifa zangu akikujibu nitagNaomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Nakazia hapa me pia nahitaji hiliNaomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Haina noma mkuuwe jamaa una sifa zangu akikujibu nitag
Nakazia hapa me pia nahitaji hili
Ndio lakini mimi sio mlevi ila navuta sana bangiUpo Kama Mimi mkuu ?
Namimi msisahau kunitagwe jamaa una sifa zangu akikujibu nitag
This is real me..Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Swali tamu sana mkuu ngoja nisubili majibu mana nimechoka umbea na unafiki wa waswahiliNaomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Asante mkuu kwa kupata angalau faida moja sema naona Dr katelekeza uziThis is real me..
They use to call me mr.kujiskia,mr kujiona matawi
I never care..naepuka vingi sana ninapokaa mbali nao
Acha mtaalamu aje atuambie faida zaidi
Waswahili sio watu wazur bora kuwa peke ako utaepuka vingiSwali tamu sana mkuu ngoja nisubili majibu mana nimechoka umbea na unafiki wa waswahili
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Okay Dr Sai ai asante kwa kujitolea kutusikiliza
Naomba niwe mteja wako wa kwanza
1.Nini chanzo mtu kuwavutia watu ambao ni players tu,iwe ni mkaka au mdada anajikuta kila mara anapofall kwa mtu au mtu anayefall naye ni player au penda penda?
2.Unawezaje kumjua mtu mkarimu,mtoaji au mtunza familia?
3.Unamtambuaje mtu mkatili kwenye mahusiano,mwenye urafiki,romantic au mpuuziaji?
ninayo maswali mengi ila naomba niazne na haya
Nimekaa nasubiria kwa hamu majibu yako mtaalamu,
Asante.
Asante Mkuu Blue G.Okay Dr Sai ai asante kwa kujitolea kutusikiliza
Naomba niwe mteja wako wa kwanza
1.Nini chanzo mtu kuwavutia watu ambao ni players tu,iwe ni mkaka au mdada anajikuta kila mara anapofall kwa mtu au mtu anayefall naye ni player au penda penda?
2.Unawezaje kumjua mtu mkarimu,mtoaji au mtunza familia?
3.Unamtambuaje mtu mkatili kwenye mahusiano,mwenye urafiki,romantic au mpuuziaji?
ninayo maswali mengi ila naomba niazne na haya
Nimekaa nasubiria kwa hamu majibu yako mtaalamu,
Asante.
Naomba kujua umuhimu wa kuwa anti social I mean kuwa kivyakovyako yaani usijihusishe na watu au kundi la watu kwa namna yeyote ile zaidi ya salamu hata salamu pia isiwe ya muhimu sana
Lazima kutakuwa kuna faida I need to know them Dr ili nishikilie msimamo wangu sitaki kujua hasara zake nataka kujua faida najua Hakuna kitu chenye kasoro kisichokosa angalau advantage kdogo nataka nijue Dr
Maswali yenu yamemkbiza Dr
Asante mkuu kwa kupata angalau faida moja sema naona Dr katelekeza uzi
Ahahha comments zenu wakuu, zimeniacha hoi kidogo!!Dr.sai nimekutana nae pale mataa ya Tazara anatoa nduki vibaya mno
Sijui haya maswali yatakua konki masta sana
inaonyesha hakutegemea,yupo anakula lecture kwa DR.sai OG
sio mbaya dr.sai hakikisha unamuelewa Dr.sai OG then urudi kutupa mrejesho