Wakuu nimeibiwa laptop 2 kwenye gari

Huyu ni msumbwa au msukuma sio mzaramo
Ushirombo iko kahama mzee.

Mkuu pole sana wezi some times unatamani umalizane nao bila kutoa taarifa kokote pale unapofanikiwa kumkamata.
Ushirombo ipo mkoa mpya wa Geita,wilaya inaitwa Bukombe,makao makuu ya wilaya ni Ushirombo,pole sana mkuu,fanya kama umesahau,ukianda kwa waganga wa jadi,utauza mpaka hiyo gali yako.
 
Habari zenu, jioni hii nilipaki gari maeneo ya africana mbezi beach, wamevunja na kuiba laptop mbili lenovo, na vitu vingine na pesa, nimekuja kwenu kwa yeyote atakaefuatwa kuuziwa naomba kwa msaada wako u nitaarifu

Na pia nauliza hivi naweza pata mganga wa jadi atakaeweza kunisaidia kumpata huyu mwizi? Maana wamenirudisha nyuma sana na kuna vitu na documents.muhimu sana.

Nawasilisha
dah..... hatari sana hii,,,,, pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom