Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Kama ana mawe ya kutosha...watoto watampigia makofi
mkuu unayumbaNgoja nirudi home jioni. Leo nakunywea ww
Pole sana wewe mtoa mada kwa hilo lililokukuta, punguza pombe hasa kipindi hiki inashusha kinga ya mwili kama alivyosema Dr. Tredos wa WHO. Hii tabia tuache jamani yaani kitu kimekutokea wewe mwenyewe halafu unaanza kusema eti jirani yangu.wakuu natumai hamjambo.
jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama tv...
jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani nikakut*mbe bila hata kumung'unnya maneno, mke anamwambia hivi unaakili?? jamaa akajibu, kwani nilikuoa ajili ya nini kama si kukutomba..
mama ikabidi atumie busara akawaambia watoto wake wakalale na wampuuze baba yao pombe zimemvuruga akili, watoto wakenda kulala na wao pia wakaingia chumbani...
sasa jamaa leo anawaonea aibu sana wanae utadhani alilazimishwa kujitoa akili.
wakuu tunyweni kiasi tusijejishushia heshima kwa familia zetu.
Kweli wewe funzaKwani watoto hawajui kuwa wazazi usiku wanatom*bana?
Halafu Bahati mbaya hawatosahau maishani labda kama ya miaka sitatayari kashajenga image mbovu kwa watoto wake
sikulaumu mkuu coz uwezo wako wakufikiria ndo unaishia hapo.Pole sana wewe mtoa mada kwa hilo lililokukuta, punguza pombe hasa kipindi hiki inashusha kinga ya mwili kama alivyosema Dr. Tredos wa WHO. Hii tabia tuache jamani yaani kitu kimekutokea wewe mwenyewe halafu unaanza kusema eti jirani yangu.
yawezekana mkuu, nipe ushauriBila shaka huyo Jamaa ni wewe. Bisha
Wakuu natumai hamjambo.
Jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama TV.
Jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani nikakut*mbe bila hata kumung'unnya maneno, mke anamwambia hivi unaakili? Jamaa akajibu, kwani nilikuoa ajili ya nini kama si kukutomba.
Mama ikabidi atumie busara akawaambia watoto wake wakalale na wampuuze baba yao pombe zimemvuruga akili, watoto wakenda kulala na wao pia wakaingia chumbani.
Sasa jamaa leo anawaonea aibu sana wanae utadhani alilazimishwa kujitoa akili.
Wakuu tunyweni kiasi tusijejishushia heshima kwa familia zetu.
mkuu unamaanisha wanaotumia kilevi ni matahiraAslngekiwa taahira ningemshauri atafakari kwanza kama starehe ya pombe inamfaa au hapana na aachane nayo
Acha uxngyawezekana mkuu, nipe ushauri
Wakuu natumai hamjambo.
Jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama TV.
Jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani nikakut*mbe bila hata kumung'unnya maneno, mke anamwambia hivi unaakili? Jamaa akajibu, kwani nilikuoa ajili ya nini kama si kukutomba.
Mama ikabidi atumie busara akawaambia watoto wake wakalale na wampuuze baba yao pombe zimemvuruga akili, watoto wakenda kulala na wao pia wakaingia chumbani.
Sasa jamaa leo anawaonea aibu sana wanae utadhani alilazimishwa kujitoa akili.
Wakuu tunyweni kiasi tusijejishushia heshima kwa familia zetu.
mkuu kila kitu kina mipaka yakenini cha ajabu hapo sasa, kwan bila kut*mbana hao watoto wangezaliwa?
Wakuu natumai hamjambo.
Jana jirani yangu karudi usiku akiwa kala maji yakutosha kawakuta sitting room mkewe na watoto wanatizama TV.
Jamaa kafika pale anamwambia mkewe, twende chumbani nikakut*mbe bila hata kumung'unnya maneno, mke anamwambia hivi unaakili? Jamaa akajibu, kwani nilikuoa ajili ya nini kama si kukutomba.
Mama ikabidi atumie busara akawaambia watoto wake wakalale na wampuuze baba yao pombe zimemvuruga akili, watoto wakenda kulala na wao pia wakaingia chumbani.
Sasa jamaa leo anawaonea aibu sana wanae utadhani alilazimishwa kujitoa akili.
Wakuu tunyweni kiasi tusijejishushia heshima kwa familia zet
watoto hawatakaa wasahau
hii kali, za mwizi 40Mwenyekiti wa Kwaya alieweza kuwaficha watu kuhusu unywaji wake wa pombe kwa umri wake wote. Juzi kakojoa hadharani kwenye kituo cha daladala na baadhi ya mashuhuda ni binti yake
Sent using Jamii Forums mobile app