moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,366
- 4,970
Bado mkuuUshawah kumla nyuma
Kuna namna anajaribu kukufool ili usishtukie mchezo alioanzaMke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.
Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Ni wapi Umewahi kuona mwanaume analalamika kutokupendwa na Mwanamke?
Kwenye Biblia takatifu imeandikwa mwanamke amtii mume wake. Na mwanaume ampende mke wake.
The same kwenye jamii huwezi kuta mwanaume analalamika hapendwi na mwanamke. Mwanaume atalalamika tu akinyimwa Unyumba mengine yote zaidi ya unyumba ni mbwembwe tu.
bas jitaidi mkuu alafu utaona reaction yakeBado mkuu
Huyo anakusaliti kua nae makini mchunguzeMke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.
Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
upo sokoni mzee 😂😂😂🙌🏽🏃🏃Nenda kwa mganga
Jr
Unakaribia kurogwa ww si bure.Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.
Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
😂🤣😂🤣😂doh nimecheka Sanaa mkuu we unataka asikupende sanaaaMke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.
Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Unatamani kumla?Bado mkuu
😂😂😂😂😂😂😂 daah nmecheka sanaMpige beat la hatari aache kukupendapenda kiboya pia mwekee uso wa mbuzi atasanda mwenyewe
Fuga ng' ombe wa maziwa mkuuMke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .
Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.
Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Nunua drum ya maziwa babaMke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .