Wakuu nifanyeje? Mke wangu ananipenda sana

Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Anakuona umeacha usanii. Kwa tafsiri ya mbwana mauki
 
Mpe namba zangu, nikusaidie,baada ya hapo nina uhakika huo upendo utausikia kwa jirani tu, njoo pm
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.

Sent using my dyudyu
 
Dawa yake nawe mpende mara dufu
 
Hii dunia haiishi vituko sasa unataka usipendwe aseeh maana asipokupenda utakuja uku tena kulalamika
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usishangae sana inawezekana kazidi kukupenda kutokana na mabadiliko fulani toka kwako aliyokuwa akiyahitaji so mpende pia ili asiwaze kwingine
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Nunua maziwa mkuu

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom