Wakuu nifanyeje? Mke wangu ananipenda sana

Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Kuna namna anajaribu kukufool ili usishtukie mchezo alioanza

Luckman1
 
Ni wapi Umewahi kuona mwanaume analalamika kutokupendwa na Mwanamke?

Kwenye Biblia takatifu imeandikwa mwanamke amtii mume wake. Na mwanaume ampende mke wake.

The same kwenye jamii huwezi kuta mwanaume analalamika hapendwi na mwanamke. Mwanaume atalalamika tu akinyimwa Unyumba mengine yote zaidi ya unyumba ni mbwembwe tu.

Bibi angu aliniambia, Mjukuu wangu usije ukamcheka mtu kwenye Ndoa, Pesa, watoto. Let me pass smoothly
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Huyo anakusaliti kua nae makini mchunguze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Unakaribia kurogwa ww si bure.
Upendo wa ghafla wa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
😂🤣😂🤣😂doh nimecheka Sanaa mkuu we unataka asikupende sanaaa
Akupende kwa afya Siyo kiasi hiyo😂😂😂
 
Mke wangu ghafla tu kila nikirudi home ananipa mabusu motomoto, mara aniangalie kwa jicho la kuning'inia , ananiambia maneno matamu na mazito? .

Kuna mtu ameniambia mwanamke akikupenda sana ghafla basi kuna uwezekana wa kutaka kukuwekea sumu au kukumwagia maji ya moto.

Suala la maji ya moto nimenunua asali lita 5 ziko ndani tayari lkn hili la pili bado sijajua nifanyeje msaada wenu wakuu.
Fuga ng' ombe wa maziwa mkuu

Nunua drum ya maziwa baba
 
Back
Top Bottom