Wakuu nauza flemu ya Duka

mutagaywa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
891
189
Tafadhari rejea kichwa cha habari wakuu nauza flemu ya Duka ikiwa na baadh ya vitu pamoja na freezer mzani na kadharika IPO mwananyamala majuju karibu na barabara iendayo makumbusho bei nikuanzia 1milion na kushuka karibu Wateja kwa Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu 0766090956
 
Flemu? Nini Nn? Huko niliwai kukaa kuna vibaka asikwambie MTU tena wanatumia mapanga
 
Flemu ni nyumba inayofanyiwa biashara ya duka,kwa milioni moja ngoja nije inbox tufanye biashara,ntapavunje kisha niporomoshe kajumba ka hatari hapo
 
Huyu Itakuwa amepanga so ile hali ya kuachia ndio anaachia na bidhaa zake za ndani na pia kodi itakuwa imekaribia so hana kitu.... ameona bora aachie kwa style hii... niliwahi kununua Internet Cafe kwa style hii sema sehemu ilikuwa inalipa town... kitambo sana... ila kwa sehemu hizo mwananyamala nasema NO....
 
Tafadhari rejea kichwa cha habari wakuu nauza flemu ya Duka ikiwa na baadh ya vitu pamoja na freezer mzani na kadharika IPO mwananyamala majuju karibu na barabara iendayo makumbusho bei nikuanzia 1milion na kushuka karibu Wateja kwa Mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu 0766090956
Weka picha na maelezo zaidi hiyo nyumba ni ya nani? au unayo hati pia na sio eneo hatarishi la mafuriko?
 
Back
Top Bottom