Nilianguka, nimekubali kuinuka na kuanza upya japo kwa kuchechemea

Shozylin

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
297
607
Wakuu habari za leo. Namshukuru Mungu mm ni mzima wa Afya mpaka sasa wakuu mm ni kijana mdogo sana mwenye umri kati ya miaka 25-28 awali nilikua namiliki kiofisi cha mpesa ambacho kilinipatia mtaji mpaka niasi cha sh 5-milion kutoka kwenye laki 5 ambayo nilianza nayo.

Kuanguka kwangu kumechangiwa na changamoto za ulimwengu, ofisi yangu kwenye suala la ulinzi halikua imara sana hivyo pakawa ni Chaka la vibaka kuvunja na kupora fedha na simu zilizo kua mle, wamefanya hivyo kwa awamu tofauti tofauti hata tulivo weka mlinzi mala ya mwisho walikuja wakampga sana na kumjeruhi vibaya R.I.P mlinzi wetu, baada ya sku tatu mlinzi wetu aliaga dunia kutomana na majeraha aliyo yapata.

Nilipachoka mle ofisini kwangu mwili na moyo ulipakinahi kabisa nikapata mawazo wengi sana. Wakati huo kamtaji kamebaki Kama 3.8-ml. moja kati ya wazo nililopata nafasi na nikaamua kulifanya lilikua ni pale ofisni nimuache maza Kisha mie niangalie changamoto kwingine.

Nikafungasha vilago kuja jiji la makala, nikafanikiwa kupata frem nikaanzisha biashara ya duka. Nikiri wazi duka nililiweka sehem isiyokua sahihi na hii ilitokana na changamoto niliyo kutana nayo huko nilikosa namna. Baada ya miezi kadhaa nikaona Bora nirudi home ninipange hapa dukani nipapgie bei.

Hapan nilivuo vifa daa na kale ka 3.8 nikaanza kukagawanya, kiasi nikamrushia mama azungushie pale ofisini kwangu nikamlipia na kodi. Ilitoka Kama 1 milion.

2.8 nikaitumia kuanzisha maisha mapya ya biashara, niseme wazi katika biashara ambazo siwez fanya mpka sasa Ni biashara ya duka la mangi la reja reja, hili ndo lilinipotezea pesa zangu. Kwanza linahitaji vitu vingi ambavyo haviuziki. Friji,mzani, meza, shelvu na ujinga ujinga ukija piga gharama ni Karibu 1milion au zaidi.

Hatimaye nilipauza kwa hasara sana pale site na nikaamua kurudi home. Nilivyo rudi skumwambia vi mkubwa Kama narudi, baadae nikampiga fix nikamwambia kua nimerud nipo kwangu ila nimekuja kwa shughuli flani akutaka kumwambia ukweli kutokana na sababu zilizo kua nje ya uwezo wangu za kifamilia.

Wakati nimefika home nimekaa takribani miezi mi 5 mishe nilizo kua nafanya ni ndogo ndogo za unasiriamali ambazo ilifika hatua nikaona zinashindwa kukidhi mahitaji.

Ikabidi nimwambie bi mkubwa kua katika harakati zangu naona nineferi naomba nirudi hapo ofisini nijipange upya.( Matamanio yangu niliwaza wakati naondoka laiti Kama ningefanikiwa huko hapa ningemuachia mama pawe pake ajipatie kipato) bahati mbaya nimeferi kwenye harakati zangu.

Rasmi nimeamua kurudi ofisi yangu ya awali nianze upya licha ya kua baada ya kutoka pale usimamizi wa ile ofisi ulikua chini ya kiwango na kupelekea wateja kupungua sana na kamisheni kushuka sana + tozo nazo Kama tujuavyo imeharibu kwa kiasi kikubwa biashara hii. Ila sinabudi kurudi hivyo hivyo palivyo nikaanze upya japo nikwa kuchechemea.

Wakuu mtaani pagumu sana, nime experience mtaa ulivyo. Nimechoka, nimepungua mwili sana, nguo zangu zote zimepauka huwezi amini hata baadhi ya wateja wangu walio kua wakinisalimia na kunijali wakati nipo pale ofisini nikionana nao kipindi hiki hawaoneshi ule uchangamfu wa kujali Kama ilivyo kua awali.

Kipindi hiki kimekua nikipindi muhimu chenye funzo sana kwangu, nimeweza kufahamu ndugu zangu na marafiki zangu kwa upande wa pili nilipo furia.

Mwisho.

JamiiForums-1926110501.jpg
 
Pamoja sana bro. Ndio kawaida Ongeza ubunifu zahidi tu Kijiweni kwako. Tutatusua tu.
 
Wakuu mtaani pagumu sana, nime experience mtaa ulivyo. Nimechoka, nimepungua mwili sana, nguo zangu zote zimepauka huwezi amini hata baadhi ya wateja wangu walio kua wakinisalimia na kunijari wakati nipo pale ofisini nikionana nao kipindi hiki hawaoneshi ule uchangamfu wa kujali Kama ilivyo kua awali.

Kipindi hiki kimekua nikipindi muhimu chenye funzo sana kwangu, nimeweza kufahamu ndugu zangu na matafiki zangu kwa upande wa pili nilipo furia.

Mwisho.

View attachment 2341357
Usichoke mkuu

Kesho tena amka endelea pambana hivyo hivyo usichoke

Mtaani hakujawahi kua kwepesi that's true

Na sidhani km kutawahi kua kwepesi in short ni kugumu km ulivyojionea
 
Pole sana mkuu, sio wewe tu. Ugumu wa biashara+mistake ndogondogo vinatuangusha Sana kwenye utafutaji. So, komaa tu mwanangu, pambana. Kwanza nguvu bado unayo isee.
 
Wakuu habari za leo. Namshukuru Mungu mm ni mzima wa Afya mpaka sasa wakuu mm ni kijana mdogo sana mwenye umri kati ya miaka 25-28 awali nilikua namiliki kiofisi cha mpesa ambacho kilinipatia mtaji mpaka niasi cha sh 5-milion kutoka kwenye laki 5 ambayo nilianza nayo.

Kuanguka kwangu kumechangiwa na changamoto za ulimwengu, ofisi yangu kwenye suala la ulinzi halikua imara sana hivyo pakawa ni Chaka la vibaka kuvunja na kupora fedha na simu zilizo kua mle, wamefanya hivyo kwa awamu tofauti tofauti hata tulivo weka mlinzi mala ya mwisho walikuja wakampga sana na kumjeruhi vibaya R.I.P mlinzi wetu, baada ya sku tatu mlinzi wetu aliaga dunia kutomana na majeraha aliyo yapata.

Nilipachoka mle ofisini kwangu mwili na moyo ulipakinahi kabisa nikapata mawazo wengi sana. Wakati huo kamtaji kamebaki Kama 3.8-ml. moja kati ya wazo nililopata nafasi na nikaamua kulifanya lilikua ni pale ofisni nimuache maza Kisha mie niangalie changamoto kwingine.

Nikafungasha vilago kuja jiji la makala, nikafanikiwa kupata frem nikaanzisha biashara ya duka. Nikiri wazi duka nililiweka sehem isiyokua sahihi na hii ilitokana na changamoto niliyo kutana nayo huko nilikosa namna. Baada ya miezi kadhaa nikaona Bora nirudi home ninipange hapa dukani nipapgie bei.

Hapan nilivuo vifa daa na kale ka 3.8 nikaanza kukagawanya, kiasi nikamrushia mama azungushie pale ofisini kwangu nikamlipia na kodi. Ilitoka Kama 1 milion.

2.8 nikaitumia kuanzisha maisha mapya ya biashara, niseme wazi katika biashara ambazo siwez fanya mpka sasa Ni biashara ya duka la mangi la reja reja, hili ndo lilinipotezea pesa zangu. Kwanza linahitaji vitu vingi ambavyo haviuziki. Friji,mzani, meza, shelvu na ujinga ujinga ukija piga gharama ni Karibu 1milion au zaidi.

Hatimaye nilipauza kwa hasara sana pale site na nikaamua kurudi home. Nilivyo rudi skumwambia vi mkubwa Kama narudi, baadae nikampiga fix nikamwambia kua nimerud nipo kwangu ila nimekuja kwa shughuli flani akutaka kumwambia ukweli kutokana na sababu zilizo kua nje ya uwezo wangu za kifamilia.

Wakati nimefika home nimekaa takribani miezi mi 5 mishe nilizo kua nafanya ni ndogo ndogo za unasiriamali ambazo ilifika hatua nikaona zinashindwa kukidhi mahitaji.

Ikabidi nimwambie bi mkubwa kua katika harakati zangu naona nineferi naomba nirudi hapo ofisini nijipange upya.( Matamanio yangu niliwaza wakati naondoka laiti Kama ningefanikiwa huko hapa ningemuachia mama pawe pake ajipatie kipato) bahati mbaya nimeferi kwenye harakati zangu.

Rasmi nimeamua kurudi ofisi yangu ya awali nianze upya licha ya kua baada ya kutoka pale usimamizi wa ile ofisi ulikua chini ya kiwango na kupelekea wateja kupungua sana na kamisheni kushuka sana + tozo nazo Kama tujuavyo imeharibu kwa kiasi kikubwa biashara hii. Ila sinabudi kurudi hivyo hivyo palivyo nikaanze upya japo nikwa kuchechemea.

Wakuu mtaani pagumu sana, nime experience mtaa ulivyo. Nimechoka, nimepungua mwili sana, nguo zangu zote zimepauka huwezi amini hata baadhi ya wateja wangu walio kua wakinisalimia na kunijali wakati nipo pale ofisini nikionana nao kipindi hiki hawaoneshi ule uchangamfu wa kujali Kama ilivyo kua awali.

Kipindi hiki kimekua nikipindi muhimu chenye funzo sana kwangu, nimeweza kufahamu ndugu zangu na marafiki zangu kwa upande wa pili nilipo furia.

Mwisho.

View attachment 2341357
Nakushauri sa hivi uwe unafunga mapema sana kuepuka wez
 
Pole sana ndugu, maisha hayajawahi kuwa na njia nyoofu moja kwa moja, na wala hayajawahi kuwa na njia ngumu moja kwa moja. Utasimama tena ndugu yangu hakuna kilicho wahi kushindwa panapo nia njema.
 
Pole sana mkuu,maisha ndivyo yalivyo,Kuna nyakati ngumu na nyakati nyepesi,nyakati ngumu hutusaidia Kujua rafiki/ndugu wa Kweli .
 
Pole sana...Kipindi kigumu katika maisha kinakufungua macho na kujua yupi ndugu au rafiki sahihi....Mungu akujaalie usimame tena
 
Back
Top Bottom