Wakuu natafuta Bodyguard

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Wakuu nimeshaanza Kufanya Biashara hasa kwenye Masoko Ni too Risk ukishapewa pesa hadharani sometime hadi Tshs. 4million.

Sifa
-Awe ni Mtu wa mazoezi
-Mwili wake uwe mkubwa Kiasi
-Akiwa Bondia/kick Boxer au Mtu wa karate ni Vizuri
-Umri 19-30
-Asiwe na historia za Wizi/Ugomvi/
-Awe Mwaminifu*
-Awe anauwezo wa kutumia Bunduki ndogo (hand Gun)/Bastola

Malipo hii ni Partime Job Kila nikikuhitaji Nitakulipa Tsh. 17,000/= haijalishi hata kwa Nusu Saa

Aliye tayari ani PM.
 
Yaani bodigadi aone umepokea miliono nne halafu yeye unampa elfu kumi na saba!!!!!!
Hapo unatafuta matatizo zaidi bora ubaki peke yako na mteja wako
Yeah ni Nature ya Kazi BANK Teller wanashika Bei gani? Lakini wengi wanalipwa 450,000-630,000 kwa mwezi. Ndo maana nikasema trustfulness ni nzuri.
 
Yeah ni Nature ya Kazi BANK Teller wanashika Bei gani? Lakini wengi wanalipwa 450,000-630,000 kwa mwezi. Ndo maana nikasema trustfulness ni nzuri.
Haiwezekani hao wateja wako uwape a/c yako ya benki walipie benki?
 
Basi powa, wewe kapige kazi kwa jamaa. Hii kazi ua kumlinda aunt niachie mimi, nitaifanya hata bure.
aaaha fresh mwanangu ila una moyo wa kujitolea sana jamaa atakua keshaona ni kwa jinsi gani unajitolea kumlinda aunty ake bureee
 
We jamaa una utani na kazi za Personal Security. Kwa 17,000 hupati mtu. Haswa kama kazi yako inahusisha matumizi ya silaha za moto.

Hivi unajua hata bei ya risasi moja tu? Tuseme amelazimika kupiga juu???

Ushauri wangu jaribu kutafuta pia ulinzi wa jadi au nenda kajifunze mwenyewe hayo mafunzo uwe unajilinda. Ni nafuu zaidi
 
Back
Top Bottom