bushoke wa dar
Member
- Jan 20, 2025
- 34
- 35
kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
inshallahUtapata Mungu akutangulie.
sawa mkuuUsitangulize shukrani kwanza kabla ya kazi kingine uza hiyo simu anza biashara ndogondogo kijana.
niko dar tabataUpo mkoa gn
me naishi darOmba kazi za ulinzi zanzibar
sawa mkuuAnzisha kijiwe cha kuchoma mahindi
Nenda mbezi njiapanda makabe, Banda boda waambie wakupeleke Chaka force security watakupa maelezo, ukipata kazi, chakula na malazi wanatoame naishi dar
mkuu naomba connection ya kampuni za ulinzi zanzibar zinazolipa vizuriOmba kazi za ulinzi zanzibar
Kulima unaweza?me naishi dar
Watafute garda world, g4s na sga securitymkuu naomba connection ya kampuni za ulinzi zanzibar zinazolipa vizuri
SGA kidogo ndo wapo kwenye peak, G4S lindo kubwa labda ubalozini hapo bongo ila migodini hawapoWatafute garda world, g4s na sga security
Umemshauri vzr lakini shida ya kazi za ulinzi kwenye kampuni zuri kama SGA Security kupata kazi ni ngumu sana.SGA kidogo ndo wapo kwenye peak, G4S lindo kubwa labda ubalozini hapo bongo ila migodini hawapo
Sio ngumu akifuata procedure tuuUmemshauri vzr lakini shida ya kazi za ulinzi kwenye kampuni zuri kama SGA Security kupata kazi ni ngumu sana.
Procedure gani mkuu hata uwe na urefu 5.7 , elimu ya form 4, mafunzo ya Jkt, nida,tin na nssf number kazi kizungumkuti.Sio ngumu akifuata procedure tuu