Wakuu nashida na app nzuri kwa ajili ya kuserve memory kama parallel space

The mission 2017

JF-Expert Member
Aug 14, 2017
466
704
Wakuu habari za mchana!!!!!!!!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika,
Kuna apps zinaweza pakua apps nyingine na ukawa una serve space kwenye simu kama iyoo parallel space sema ii app inazingua kama kuna mtu anaijua ilio bomba anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simu za samsung zina secure folder, au my knox zinafanya kazi kwa usawa,

pia ipo appcloner, 2face, 2ccounts, cm appclone etc

ila usije ukajenga idea hizi app zinasave space, si kweli zinakula space kama app nyengine.
 
Mkuu hebu tueleweshe tuweze kukushauri unataka app ya kusave space? au ya kukuwezesha kutumia app 2 za namna mmoja nijuavyo app za namna ya parallel space zinakuwezesha kufanya copy ya app unayoipenda ili uwe na akaunti 2 tofauti kwenye simu moja.
Tatizo za app za namna hii zinakula memory na space kwenye simu na kuifanya simu yako kuwa nzito ili kutumia app za namna hii hakikisha unasimu yenye uwezo mkubwa na ram ya 3gb au zaidi.
Pia mid range smart phone nyingi za kichina kama infinix inakuja na hii feature inbuilt kwenye simu unaweza kutengeneza copy 2 ya app yoyote iliyoko kwenye simu yako na ukawa na akaunti mbili zinazofanya kazi kwa pamoja bila kuweka parallel space

Wakuu habari za mchana!!!!!!!!!
Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika,
Kuna apps zinaweza pakua apps nyingine na ukawa una serve space kwenye simu kama iyoo parallel space sema ii app inazingua kama kuna mtu anaijua ilio bomba anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu tueleweshe tuweze kukushauri unataka app ya kusave space? au ya kukuwezesha kutumia app 2 za namna mmoja nijuavyo app za namna ya parallel space zinakuwezesha kufanya copy ya app unayoipenda ili uwe na akaunti 2 tofauti kwenye simu moja.
Tatizo za app za namna hii zinakula memory na space kwenye simu na kuifanya simu yako kuwa nzito ili kutumia app za namna hii hakikisha unasimu yenye uwezo mkubwa na ram ya 3gb au zaidi.
Pia mid range smart phone nyingi za kichina kama infinix inakuja na hii feature inbuilt kwenye simu unaweza kutengeneza copy 2 ya app yoyote iliyoko kwenye simu yako na ukawa na akaunti mbili zinazofanya kazi kwa pamoja bila kuweka parallel space
Duu nimekusoma mkuu
 
Na mimi nimesoma hii post nikashangaa kweli parallel space, ina save space!!!
 
Mkuu hebu tueleweshe tuweze kukushauri unataka app ya kusave space? au ya kukuwezesha kutumia app 2 za namna mmoja nijuavyo app za namna ya parallel space zinakuwezesha kufanya copy ya app unayoipenda ili uwe na akaunti 2 tofauti kwenye simu moja.
Tatizo za app za namna hii zinakula memory na space kwenye simu na kuifanya simu yako kuwa nzito ili kutumia app za namna hii hakikisha unasimu yenye uwezo mkubwa na ram ya 3gb au zaidi.
Pia mid range smart phone nyingi za kichina kama infinix inakuja na hii feature inbuilt kwenye simu unaweza kutengeneza copy 2 ya app yoyote iliyoko kwenye simu yako na ukawa na akaunti mbili zinazofanya kazi kwa pamoja bila kuweka parallel space

Ufafanuzi hapo kwenye mkuu. Procedures.
 
Back
Top Bottom