Wakuu naombeni ushauri wenu


Mwamba hapa umemaliza,umeongea mawazo yangu yote ,hawa viumbe haswa wa bongo si vema Kuzama Mazima,watakuumiza,natamani watu wafuate ushauri wako utawasaidia sana
 
Asante kwa ushauri wako kaka na kwa kuwa wengi mmenishauri nimpotezee nitafanya hivyo. Kujibu swali la unakwama wapi ni kuwa ni kuwa chongomoto ni kumsahau.

Acha kauli za kitoto wewe,,usimsahau mama yako huyo.?fanya mazoezi kuanzia sasa,,concertrate na kazi au masomo yako n Life goes on,hii kauli yako ya kusema nichangamoto kuachana nae inakera sana,acha utoto na upuuzi unatuabisha wanaume wenzio hapa
 
Aisee ukioa huyo mwanamke hutaishi kwa raha maisha yako yote Yan utakua Kama like kondoo tu ndani ya nyumba au Dem anakuzidi kipato nn?
Alafu nashindwa kumuelewa yan mwanamke abanwe nyege baa akupandilie hapo hapo bar still unataka

Sijakuelewa mkuu unamaanisha hujaelewa kwanini kabanwa akiwa bar ?

Kwa upande wa kipato tunafanana, yeye ni mwajiriwa kwenye kampuni flani ya bima na mimi ni mwajiriwa katika shirika flani.
 
Acha kauli za kitoto wewe,,usimsahau mama yako huyo.?fanya mazoezi kuanzia sasa,,concertrate na kazi au masomo yako n Life goes on,hii kauli yako ya kusema nichangamoto kuachana nae inakera sana,acha utoto na upuuzi unatuabisha wanaume wenzio hapa
Asante mkuu. Ntajitahidi
 
Eeeh ni kweli, mwanamke unapanga nae mpaka mahari kumbe hana mpango na wewe, anakuchora tu.. Sembuse huyu sijui walipanga nyenyenyenye, [emoji57][emoji57][emoji57]

Najua huwezi kufanya hivyo unless .[emoji848]
 
Kwani kutomba bei gani...ungetomba kimoja cha fasta tena ungeenda mgongea chooni kabisa
 
Acha shobo za kumpigia
 
Dah hivi mwanaume unakosaje mbinu ya kumchinja mbuzi keshazama bandan ?!
 
Achana na huyo Mbwaa....
Niandikapo post hii nishapiga safari 7
 
Sikiliza ushauri wangu utanielewa ki ukweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke!!
Na kumpenda mtu siyo kigezo kikubwa cha kufunga naye ndoa, bali kuna vitu vingi ambavyo unapaswa kuelewa kuhusu Ndoa ni nini? Kusudi la Ndoa ni lipi? Wanandoa wanapaswa waweje? Huyo ungejutia maisha yako yote Maana angekusumbua mpaka Ungeona Nyumba yako chungu!!
Zaidi ya Yote, Mke mwema hakuna awezaye kumuona hisipokuwa kwa msaada wa MUNGU, ukitaka Vya MUNGU lazima Uendae naye, hapo ndipo wengi wanashindwa maana ni waovu sana!! Kingine, sex before marriage ni Kukaribisha laana kwenye ndoa yako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…