Wakuu naombeni ushauri wenu

Wakuu naombeni ushauri wenu

Mtoa mada kuna sehemu umenishangaza sana yaani demu anakwambia anataka wewe unaleta ujuaji yaani ningekuwa mie hata bakuli la supu ningeliacha
 
Sikiliza ushauri wangu utanielewa ki ukweli si kila mwanamke anafaa kuwa mke!!
Na kumpenda mtu siyo kigezo kikubwa cha kufunga naye ndoa, bali kuna vitu vingi ambavyo unapaswa kuelewa kuhusu Ndoa ni nini? Kusudi la Ndoa ni lipi? Wanandoa wanapaswa waweje? Huyo ungejutia maisha yako yote Maana angekusumbua mpaka Ungeona Nyumba yako chungu!!
Zaidi ya Yote, Mke mwema hakuna awezaye kumuona hisipokuwa kwa msaada wa MUNGU, ukitaka Vya MUNGU lazima Uendae naye, hapo ndipo wengi wanashindwa maana ni waovu sana!! Kingine, sex before marriage ni Kukaribisha laana kwenye ndoa yako!!

Asante sana mkuu
 
Mkuu nimekuelewa sana, naeza sema niliwahi pitia hilo kdogo ktk maisha ya mahusiano, kwanza mahusiano ya kukwaruzana kwaruzana huwa hayafiki mbali kabisa, pili huyo dada inaonesha hajiamini na anawivu kupitiliza ata kisa iko cha ulivomkatalia kusoma text zako za whatsApp ni kutojiamini kwake kwako kwahiyo huyo hata kama utaforce kurudiana nae still hamtofika mbali mfano huo ninao pia ata kwa ndugu yangu fulani niliekuwa nae chuo aliwahi kuwa na mchumba ake ambaye walidumu km 3years lkn kila kukichwa ni maugomvi ambayo hayana vichwa wala miguu km yanayokutokea ww, kwahiyo kazi yao ilikuwa hiyo kusuruhisha kesho upya mpk sasa navosimulia kila mtu anamaisha yake ya furaha, kwhyo kila mtu amepangiwa wakuwa nae ambae atafit nae. Mwisho kabisa mimi nakushauri piga moyo konde mfute kichwani mwako maana kupenda au hisia huongozwa na maamuzi tu mkuu, fanya kuamua tu kama huyo bidada c wako na wako yupo njiani....?

Ahsante!
 
Nashkuru sana mkuu. Huyu manzi ni mtu wa kununa yani, anapenda kununa. Ntajitaidi nimsahau
 
Kwanza Pole sana.

Mwana ume kamili hashindwi kitu.

Kama unamhitaji kweli utampata. Na hapa iwe kama unamhitaji kweli kwa ajili ya ndoa.
1. Tafuta Rafiki yake yeyote. Mtumie yeye kusuruhisha amuambie jinsi unamipango nae.
2. Kama moja ikishindikana tumia Rafiki yako wa jinsia ya kike. Mwambie wawe marafiki afu badae amwambie ukweli kuhusu wewe. Na kwamba wewe ndie ulie fanya mfahamiane nae.
3. Endelea kumwandia sms za mahaba maharabato.
4. Mtumie zawadi anazopenda.
5. Angalie nyendo zake iwapo anakupenda - ukigundua kunamwenzako na anakubarika wewe sepa tu chukua mwingine.
 
Simple sana hii... yaani pale pale alipoondoka usingempigia simu wala chochote nakuhakikishia baada ya siku 3 angekutafuta
 
Habari za asubuhi.

Mnisamehe kwa kuandika maneno mengi sana kwa sababu nilitaka kueleza kila kitu.

Naomba mnishauri wakuu.
Kama kweli uko na nia naye mpe muda. Pia ahisi uko pale. Waoaji hamna cku izi, atakurudia tu. Pia ukiwa na mtu serious piga chini watu wako wa zamani as I believe hata wewe angekufanyia hivyo ungemuacha. Make sure u have no monsters in ur closet. Pia message za mwanamke uliyeachana naye za nini????? Huo nao ni utoto kwa upande wetu wanaume. Una bahati tu wanawake ni viumbe samehevu....Pambana atarudi - waoaji hakuna
Anaeza akarudi kaonjwa kidogo (hasahasa na one of her exes) lakini usimind
 
Asante sana kwa ushauri wako. Nimeamua kumpotezea na sidhani kama atarudi kwa sababu alinitamkia kuwa akishamwacha mwanaume huwa hawezi kumrudia kwa vyovyote.
 
Kwanza Pole sana.
Mwana ume kamili hashindwi kitu.
Kama unamhitaji kweli utampata. Na hapa iwe kama unamhitaji kweli kwa ajili ya ndoa.
1. Tafuta Rafiki yake yeyote. Mtumie yeye kusuruhisha amuambie jinsi unamipango nae.
2. Kama moja ikishindikana tumia Rafiki yako wa jinsia ya kike. Mwambie wawe marafiki afu badae amwambie ukweli kuhusu wewe. Na kwamba wewe ndie ulie fanya mfahamiane nae.
3. Endelea kumwandia sms za mahaba maharabato.
4. Mtumie zawadi anazopenda.
5. Angalie nyendo zake iwapo anakupenda - ukigundua kunamwenzako na anakubarika wewe sepa tu chukua mwingine.

Asante ndugu, ila huyu binti huwa hanaga marafiki maana mtaani wanasema anajiona, pia pale anapokaa kwa sasa kahama, kahamia ubungo nashindwa kujua ni sehem gani. Kwahiyo nimeamua tu kumpotezea kwa kuzingatia ushauri wa baadhi ya wadau.
 
Mkuu tatizo lako hadi kwenye ukomo unatumia moyo badala ya akili. Mimi nilikuwa mhanga wa tatizo kama lako mwanamke alikuwa na wivu kupita maelezo full kununanuna.

Akaaanza tabia yakukagua simu hichokitu sikukipenda nikamuewesha kuwa sina mtu mwingine zaidi yake akawa haelewi akikagua hakutikitu, akawa hataki niwehata fb, na jamii forum nikamwambia siwezi maana ndo huwa natumia jamii forum kujifunza mwengi akawa kila siku ugomvi sikumkawiza nikamwambia mama uwezalo fanya maaana kamaunanipanda kichwani.

Kilichofata akadai tuachane hatanitafuta nikasema poa usiwaze nikapiga chini sikumtafta wala nini wiki moja ikapita nikakuta txt yake analialia nakuniomba msamaha nakushauri acha kumfatafata anajaa bichwa kaakimya akikutafuta muelekeza mipaka akisema hwezi piga chini mazima. Unataka umuoe 2020 kama shidah hii tu umeleta humu mangine utaweza zinduka.
 
Asante sana kaka. Na mi nimeamua nimpotezee tu.
 
mmekutana wote watoto yan si mnaona single mother hawafai pambaneni na hao watoa mimba sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom