Wakuu naombeni ushauri wenu


Asante kwa ushauri wako kaka na kwa kuwa wengi mmenishauri nimpotezee nitafanya hivyo. Kujibu swali la unakwama wapi ni kuwa ni kuwa chongomoto ni kumsahau.
 
Sounding kama vile unaficha baadhi ya mambo. Inshort wewe siyo mwaminifu kwenye mahusiano. Tafuta ambaye atakuelewa jinsi ulivyo.

Hakuna nnachoficha mkuu na siwezi nikaficha ilhali nahitaji ushauri wa nini chakufanya.
 
Sasa ndugu zangu huko ni KUACHWA,
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

ndio ushaachwa hivyo pambana na hali yako boss
 
Chukua ushauri huu mtoa mada.
 
We hupendwi tu. Mi simu yangu ilifumaniwa na namba za demu anayejiuza na tunaelewana bei. Ila mwisho wa siku kesi imeisha na tunaishi kwa furaha na amani
 
Kwanza pole kwa msaibu. Binafsi nitashauri nikiamini ulichoandika ndiyo ukweli...
1. Huyo MTU hafai kuowa. Kwake mahusiano na wewe Yana maana usiongee wala kusemeshana na yeyote.
2. Kuowa MTU kama huyo, utaishi maisha ya kujitetea kwake kila siku iwe umekilosea wewe, yeye au wote.
3. Utachaguliwa marafiki. Na hao marafiki NI wale watakaokuwa wanafanana na yeye... Ni wapelelezi wake
4. KUOWA MTU WA hivyo, utatiliwa shaka hata Kwa dada zako, mama yako ...etc
5. KUOWA WA hivyo utakuja kuhisiwa ushoga, maana wanawake hutaongea nao, and obviously watabaki wanaume.... What will be the next hisia zake kwako..??? USHOGA

KIONGOZI HUYO MTU ATAKUFANYA UISHI JEHANAMU HUKU UKIWA DUNIANI. UTAKUWA NA HOFU YA KUFANYA CHOCHOTE KWA KUMHOFIA

ANATAKIWA AFAHAMU KUWA UNA MARAFIKI NA MA-X, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI....

ACHANA NAYE AND MOVE ON NA MAISHA YAKO
 
Mzee baba unaweza kuwa nao wengi lakini mmoj akakukamata nyota kweli kweli... Mi niko mao watatu ila huyu mmoja mmmmh kamoyo kanauma sana..
 
Asante sana kwa ushauri wako ndugu yangu. Nitazingatia.
 
Aisee ukioa huyo mwanamke hutaishi kwa raha maisha yako yote Yan utakua Kama like kondoo tu ndani ya nyumba au Dem anakuzidi kipato nn?
Alafu nashindwa kumuelewa yan mwanamke abanwe nyege baa akupandilie hapo hapo bar still unataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…