codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 439
- 854
Wakuu poleni na majukumu ya utafutaji lakini pia nawatakia sikukuu njema na Familia zenu.
Wakuu Nina budget ya 4M hadi 5M nataka bike imara yenye uwezo wa kutembea long distance hadi 150 km with speed of 70kmph to 90kmph non stop.
Nimeangalia mtandaoni baadhi ya bike kama honda, Yamaha, haojue na suzuki karibu zote ni model za India na mm nataka ya Japan, naomba kuuliza honda, suzuki au yamaha from india ina ubora Sawa na ya Japan na pia utajuaje kama bike ni ya Japan?
Baadhi ya bike zimenivutia ni
Honda cb 125f
Suzuki gs 150r
Yamaha ybr 125
Hizi bike ni model za India na sijui kama ubora wake ni Sawa na zile made in Japan japo ni company moja.
Kwa budget yangu ya 4M hadi 5M naweza Pata bike nzuri kutoka Japan?
Nimewahi kuwa na tvs and boxer sikulizika na performance yake kwa mwendo wa muda mrefu na speed kubwa japo nazo ni bike nzuri tu.
Sent using Jamii Forums mobile app