Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

codifier

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
439
854
Wakuu poleni na majukumu ya utafutaji lakini pia nawatakia sikukuu njema na Familia zenu.

Wakuu Nina budget ya 4M hadi 5M nataka bike imara yenye uwezo wa kutembea long distance hadi 150 km with speed of 70kmph to 90kmph non stop.
Nimeangalia mtandaoni baadhi ya bike kama honda, Yamaha, haojue na suzuki karibu zote ni model za India na mm nataka ya Japan, naomba kuuliza honda, suzuki au yamaha from india ina ubora Sawa na ya Japan na pia utajuaje kama bike ni ya Japan?
Baadhi ya bike zimenivutia ni

Honda cb 125f
Suzuki gs 150r
Yamaha ybr 125
Hizi bike ni model za India na sijui kama ubora wake ni Sawa na zile made in Japan japo ni company moja.
Kwa budget yangu ya 4M hadi 5M naweza Pata bike nzuri kutoka Japan?

Nimewahi kuwa na tvs and boxer sikulizika na performance yake kwa mwendo wa muda mrefu na speed kubwa japo nazo ni bike nzuri tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua mahindra Arrow iko poa sana , mafuta hata uimara ni moja ya brand imara sana

sent from HUAWEI
 
Hiki chuma nakipataje
Honda cb 125f
honda%20cb%20125f.PNG
 
Hivi ukiagiza kutoka nje utapata genuine Japanese honda or suzuki or yamaha au utaletewa za India.
 
Kwa hyo pesa huwez pata mpya utapata used, lakini hyo used kuikaa kwenye folen watu watakuangalia wewe tu, vi passo, ist, vits tupa kule, kuna jamaa yupo arusha anauza kwa bei hyo utaramba bonge la pikipiki

Respect!!!!
 
Kwa hyo pesa huwez pata mpya utapata used, lakini hyo used kuikaa kwenye folen watu watakuangalia wewe tu, vi passo, ist, vits tupa kule, kuna jamaa yupo arusha anauza kwa bei hyo utaramba bonge la pikipiki

Respect!!!!
Ok! Ahsante mkuu na hapa bongo wapo wanao uza hizo machine au hadi niende arusha?
 
Ok! Ahsante mkuu na hapa bongo wapo wanao uza hizo machine au hadi niende arusha?
Yule jamaa wa arusha, trust me ana pikipiki origina kutoka japan, nahitaj sana ninunue ila mambo mengi, mi natumia haojue na blast CG, Cg inanikosha natembea nako hata km150, akili mafuta
 
Back
Top Bottom