Babchabi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 1,745
- 777
kwanza natoa shukrani zangu kwa wanajamii wote pili ningependa tusaidianini kwa wale walio kua hawana uwezo wa kukodi dstv tuwasaidie ili ligi zitakapo anza nao waweze kuona live japo katika stream
kwa upande wangu mimi naomba mnifahamishe ni vipi naweza kutengeneza stream na kuweza kurusha live
kama kuna mtu anaelewa anifahamishe ili na wengine wapate kujua mimi nimekodi kingamuzi aina ya freebox hpa france
ambacho kina internet tv and telephnone katika chanal ambazo wameweka kuna hizi chanal za bien sport ambazo zinarusha ligi za la liga bundes liga seri a champions league europa league na nyinginezo bali epl ila wako katika harakati za kutafuta hati ya kurusha epl kwa upande wangu ningependa na mimi niwasaidie wezangu wapate kuona ijapao kwa ustream kama kuna mtu anajua atoe maelezo ahsanteni .