Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

Sasa kwani umekuja kujifunza au umekuja ili mradi upate komenti na likes,

Uandishi wako na points yako ndiyo itakufanya watu wapende Uzi wako na kuvutiwa zaidi,
Tatizo huna ubunifu na nyuzi zako ndiyo maana boya ww.
 
Human psychology doesnt work like that mzee.
Its not only about content, but also how you connect with others here.
Popularity ni kitu kikubwa hapa. Lakini kikubwa zaidi ni namna unavyo-deliver.
Kiukweli, watu wapo JF ku-enjoy. So regardless of what you write, write what you feel and most importantly, write to connect.
Hata darasani, mwenye 'likes' nyingi sio anyefaulu sana, bali the wittiest.
 
Hizi comment na like hua unakusanya unaenda kuuza??
Halafu wakati unakuja hukupiga hodi kuondoka unaniaga......

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Kilio changu kilikuwa comments na like, na wewe mmojawapo ujawai kunipa. Comments yako hata moja, sasa leo nimeipata comments yako Ubarikiwe sana tena sanaaa mkuu
 
Haya mambo kwa kweli yanashangaza sana, si wewe tu unayekerwa na hii tabia
 
Back
Top Bottom