The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
Huwa hakuna dua ya novena bali sala ya novena
Nami nasubiria
AiseeeeSALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
By /
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupenda, na kwa majuto halisi ya dhambi zangu, nakutolea moyo wangu dhaifu...
Aiseeee
Huwa hakuna dua ya novena bali sala ya novena
Nami nasubiria
Kwani muombaji kaomba Albadir au NovenaWeka na wewe ile yenu albadir
Ni kweli eti ni albadir ya wakatoliki?Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
Sala nzuri sana hakikaSALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
By /
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupenda, na kwa majuto halisi ya dhambi zangu, nakutolea moyo wangu dhaifu. Nifanye mnyenyekevu...
Asante sana mkuuSALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
By /
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupenda, na kwa majuto halisi ya dhambi zangu, nakutolea moyo wangu dhaifu. Nifanye mnyenyekevu...
Mimi naomba Albadir ,kuna demu kala pesa yangu leo na hajatokea maza Fanta.Kwani muombaji kaomba Albadir au Novena
Funga na kuomba.Kuna watu wana nia mbaya na maisha yangu. Nataka kusali dua ya Novena ili nipite salama katika jaribu hili.
Mcheki FaizaFoxyMimi naomba Albadir ,kuna demu kala pesa yangu leo na hajatokea maza Fanta.