Wasiliana na SUA wenyewe si Wana web nenda kule ukachukue namba za simu
ndio mzeeMzee ulipata?
ivi second year kuna vitu gan vya kulipia mwanzo?ndio mzee
Kwani uko wapi ndugu?Mpaka sasa sijafanikiwa lkn
Mpaka sasa sijafanikiwa lkn
Mkuu mbona unataka kukosa chuo kizembe! Hv huna option ya chuo kingine zaid ya SUA?Yaaan hii account haijajibu chochote hadi leo
Kozi niliyosoma dip inanitaka sana niende sua kupiga bachelor.. Labda nijaribu na udsm nasikia kuna college ya kilimoMkuu mbona unataka kukosa chuo kizembe! Hv huna option ya chuo kingine zaid ya SUA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah aisee!, lakin sitaki kukukatisha tamaa ila huu ndio ubaya wa kusoma kozi zinazopatikana chuo kimoja incase umekosa hiko chuo ndo basi tena. Kila la heri mkuu, jaribu pia na hapo udsm japo kupata ngumu kdgKozi niliyosoma dip inanitaka sana niende sua kupiga bachelor.. Labda nijaribu na udsm nasikia kuna college ya kilimo