mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 754
- 272
Habar zenu wakuu,
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa najiuliza kati ya waziri wa ulinzi au waziri wa mambo ya Ndani Nani hasa anapaswa kuwa mstari wa mbele juu ya usalama maana kiukweli sijafahamu mipaka ya Kazi yao naomba mwenye uelewa zaidi tufahamishane nawasilisha..