Wakuu naomba kujua mipaka kati ya Waziri wa ulinzi na waziri wa mambo ya ndani

Waziri wa Mambo ya ndani, anahusika zaidi na Usalama wa raia na mambo yao ndani ya nchi. Polisi, Magereza, Uhamiaji zipo chini ya Wizara ya Mambo ya ndani.

Waziri wa Wizara ya Ulinzi, husimama katika nafasi yake. Yeye huhusika zaidi na Jeshi (JWTZ, JKT na mengineyo) katika kuhakikisha mipaka ya nchi i Salama na wala hakuna muingiliano yeyote.

Hakuna mkubwa baina yao. Wote hao boss wao ni Mh Rais. Kila mmoja husimama katika majukumu yake.

Lakini kwa mantiki ya 'Usalama' kama ulivyouliza, Waziri wa Mambo ya ndani huhusika zaidi kwani Polisi ndiyo wenye Jukumu la kuhakikisha Usalama.
 
Mmoja anashughulikia masuala ya usalama wa ndani na wa ulinzi anashughulikia usalama wa mipaka ya nchi yaani uyu yupo nje sana ila ndani anaweza kuhusika kama ishu ni nyeti sana.
 
Kwa mfano wakuu hii inshu ya kibiti inamuhusu sana waziri wa mambo ya ndani tu ss kulikoni na jw wanaenda tena huoni kama ni mkanganyiko
 
Kwa mfano wakuu hii inshu ya kibiti inamuhusu sana waziri wa mambo ya ndani tu ss kulikoni na jw wanaenda tena huoni kama ni mkanganyiko
JW hutumika ktk baadhi ya operations ndani ya nchi.

Kibiti ni task force yawezekana imeundwa kusaidia usalama wa RAIA.
 
Jwtz huenda au huombwa pale panapohitajika nguvu ya ziada zaid,Lkn pia ktk masuala ya ujenz wa miundo mbinu km Hali ya dharula jkt au jwtz huusika.
 
Kwa mfano wakuu hii inshu ya kibiti inamuhusu sana waziri wa mambo ya ndani tu ss kulikoni na jw wanaenda tena huoni kama ni mkanganyiko
Polisi Arusha walihawi kuomba msaada wa JW toka Monduli pale kulipoonekana Kuna majambazi pale Njiro ambayo yametega mabomu kuzunguka nyumba waliyopanga.

Taarifa iliyotolewa na house girl ambaye alipoenda sokoni hakurudi tena.Polisi walipiga battle ya saa 5 wale jamaa hawakutoka kujisalimisha.

JW toka Monduli wakaombwa wakafika na makomandoo, wataalam wa mabomu,n.k baadavya nusu saa wale walitoka wenyewe bila nguo ndani mikono kichwani.Walikuwepo waganda wakenya na watz.
 
Aisee
 
Back
Top Bottom