Tembelea nchi chagua tz Self ServiceNaomba mwenye ufahamu anieleweshe kuhusu package za DSTV kwa Tanzania bei zake na idadi ya chanel zilipo ikibidi hata list ya hizo chanel. Pia kama kuna link ya hizi taaarifa zote waweza kushare nami.
Tembelea nchi chagua tz Self Service
Ok, karibuAsante kwa link