Natafuta Ajira, nipo tayari kwa Mkoa wowote

Natafuta Ajira, nipo tayari kwa Mkoa wowote

eastzoododoma

Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
21
Reaction score
20
Habarini ndugu zangu,

Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi yangu anisaidie.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote

Shukrani🙏🏾
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom