Hivi watu maskini kama was tandale huwa wanajifunguaje?Uamuzi mzuri mkuu, nina ndugu(shangazi) alijifungulia hapo gharama jumla zilifikia 36mil na laki kadhaa... Na kulitokea emergency kama wanavosema,,.
Jaribu massana, tmj, rabininsia...
Hivi wanapokea bima pale au ni cash?Nenda lugalo pale karibiana mwenge kuna hospital ya kina mama ni nafuu sana yaani hutoamini
Milioni 36 kujifungua tu? wonders shall never ceaseUamuzi mzuri mkuu, nina ndugu(shangazi) alijifungulia hapo gharama jumla zilifikia 36mil na laki kadhaa... Na kulitokea emergency kama wanavosema,,.
Jaribu massana, tmj, rabininsia...
Inapita hadi gharama za kupandikiza mimba IVF.Milioni 36 kujifungua tu? wonders shall never cease
Duuuuuuuu..... alafu baadae unaambiwa mtoto sio wako
Hahahaha nimecheka apo ulipouliza hizi pesa zote ni zanini na niniHivi watu maskini kama was tandale huwa wanajifunguaje?
Wakijifungua wanakufa wote?
Hizi pesa zote ni za nini na nini?
Mkuu kwani pesa watu wanatafuta ili wafanyie nini ??Hivi watu maskini kama was tandale huwa wanajifunguaje?
Wakijifungua wanakufa wote?
Hizi pesa zote ni za nini na nini?
Cheka mwenzanguHahahaha nimecheka apo ulipouliza hizi pesa zote ni zanini na nini
Hio hospitali ipo peponi?Habari za wakati huu wapendwa,
Nipo hapa kuomba msaada wa kimawazo.
Mwenza wangu anakaribia kujifungua na amebakiza almost wiki kama5 tu. Clinick tumekuwa tukiattend pale Agakhan hospital ila tulivoulizia gharama za kujifungua tumeambiwa zinaweza kufikia hadi millioni6 au 7 in case kama kuna emergency.
Bima ina uwezo wa kucover tzs 4.7M pekee. Sasa nataka nimuhamishe hapo akajifungulie hospitali nyingine ambayo haina gharama kubwa sana. Kwa experience yenu ninaomba msaada wa hospitali ipi nzuri kwa mama na mtoto na yenye gharama ambazo bima itacover. Bima ni ya Jubilee insurance.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Alijifungua sema akapata complications ikabidi alazwe kama week 3 hivi na mabei yakafika huko...Cheka mwenzangu
Laki saba tu una uhakika wa kujifungua
Eti mil 36
Halafu uambiwe mtoto wa mzee nyange sio wako...
Alijifungua, ila akapata mattzo so akalazwa kwa week 3 na siku kadhaaMilioni 36 kujifungua tu? wonders shall never cease
Nenda muhimbili hapo, mchukulie Private room. Atahudumiwa kama mfalme hadi utafurahia.Habari za wakati huu wapendwa,