Tatizo limeanzaje tuanzie hapo kwanza?na lina muda gani tangu ugundue tofauti hizo?au ndivyo ulivyozaliwa?kama mwanzo ulikuwa vizuri then ukajikuta uko hivyo that means kuna kitu kimesababisha..usipojua root course huwezi solve chochote mana utakuwa unakata matawi tu ilhali mizizi ikiendelea kuimarika nawe ukizidi kujichosha..
Kwa wanaume tulio wengi tukikosa pesa au uchumi ukidorora tunapoteza kabisa uwezo wa kujiamini,kutafakari,kuongea mbele za watu,hata kushiriki tendo LA ndoa na kuwaridhisha wenzi wetu,kama mwanzoni ulikuwa una kipato Fulani kinachoridhisha na sasa umeporomoka nikusihi usijaribu kumtafuta mchawi wa aina yeyote yule kwamba atakuwa amehusika na mapungufu yako..
Pia utasoma sana vitabu vya kukuMotivate ili upate Self Confidence nk lakini utakuwa unapoteza muda mana hutaelewa kwa wakati huo,unachotakiwa kufanya ni kuRelax ili uSettle kichwa uanze mikakati ya kutafuta pesa upya ukiwa umetulia uweze kurudi ktk hali yako ya zamani,jiulize kwanza tatizo limeanzaje then utajua jinsi ya kulitatua..