Zee la michongo
Senior Member
- Apr 2, 2025
- 121
- 308
Hizo ni aacount mkuuNaona sijaelewa kitu...haya sio mambo yangu
Kwa huu uandishi wako hakuna kitu hapo zaidi ya ujinga ujinga.Habari wakuu
Kumekucha sasa mwenye hizi digtal items anicheki chap
SHART AWE ANAJUA KIINGEREZA
PIA ZIWE OLD ACCOUNT
OLD UK ,DUBAI,OR UAE REMITLY AU TAPTAP ACCOUNT
LETS WORK TOGETHER
Account ya Dubai,au uk ambazo za taptap au remitly zinahitajikaAndika Kiswahili hapo naona umeandika lugha iliyopo kwenye Juzuu sielewi kitu
Kama upo na taptap send account tupige kazi then profit share ipo ya hadi asilimia 50Mimi niko na Taptap send Account nielezee huo mchongo kiundani umekaaje
Yangu ina mwaka mmoja.Kama upo na taptap send account tupige kazi then profit share ipo ya hadi asilimia 50
Ila sharti iwe ni ya muda mrefu na historia ya miamala
Pia iwe ya dubai,uk au UAE ,qatar
Ya nchi gan mkuuYangu ina mwaka mmoja.
Weka wazi ni mchongo wa aina gani
UaeYa nchi gan mkuu
Nahitaji kufanya miamala kadhaa mkuu profit had 50%Yangu ina mwaka mmoja.
Weka wazi ni mchongo wa aina gani
Ushawah kuifanyia miamala mkuu😁 tumake deal
Yeah nilishawahi kutumaUshawah kuifanyia miamala mkuu😁 tumake deal
Sawa mkuu nicheki Pm tutengeneze pesaYeah nilishawahi kutuma
Usimpatie hiyo account, itawekewa fedha za wizi mwisho wa siku msala utakuangukiaYangu ina mwaka mmoja.
Weka wazi ni mchongo wa aina gani
Mkuu unaongea kitu usichokifahamuUsimpatie hiyo account, itawekewa fedha za wizi mwisho wa siku msala utakuangukia
Zis aa akaunt fo wot? Kwa kiingereza umesema tuwasiliane!Hizo ni aacount mkuu
Ni minor specification hakina ulazima ispokua ni uwezo wa kuelewa basic english vocabulariesZis aa akaunt fo wot? Kwa kiingereza umesema tuwasiliane!
Yeah ndio maana nilikuwa namwambia aweke wazi isije ikawa ni mambo ya money launderingUsimpatie hiyo account, itawekewa fedha za wizi mwisho wa siku msala utakuangukia