Wakuu msaada

Mleta mada ni mshamba wa kiwango cha pro max.
Yaani libaba lazima unashindwa kutongoza wanawake unapokutana nao live unakuja huku kuomba tips za kuwapata mitandaoni.

Hovyo kabisa!
 
mwezi mtukufu shetani kafungwa minyororo wewe ujasiri wa kufanya dhambi unautoa wapi ndugu yetu? Ramadhan ikiisha nitafute nikuonyeshe chimbo kitonga kule telegram
 
Chief unaomba msaada uingie kwenye uzinzi!!!!!!???? Anyway ngoja wajuvi wa hizo mambo waje wakusaidie maana jf ni kama Guanzuh China kila kitu unapata kikubwa subira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…