MwanzoMwisho
Member
- Aug 11, 2009
- 34
- 0
Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
kama isp kablock youtube au website yoyote tumia njia hizi
1) tumia secure connection yaani mfano adress ni YouTube - Broadcast Yourself. change iwe https://youtube.com unaongeza s kwenye http
2) tumia virtual private network (vpn) hizi ni tunneling zinazoficha browsing yako na download zako, zinakufanya unakuwa anonymous katika net. Unaweza kwenda link hii kupata vpn
pdproxy vpn service
3) ni kutumia proxy kubrowse unaweza kwenye proxy site like hidemyass.com au hideme.mobi kupata huduma ya proxy
Hope utafanikiwa