Wakuu msaada wenu kwa hii

A VILLEGER

New Member
Jul 19, 2019
1
0
Wakuu ningependa msaada kutoka kwenu ktk ili tatizo nashindwa kuingia Instagram kila nikijaribu kuingia inagoma kwa kuleta hayo maneno pichani...nikaifuta na ku-install upya ttz lipo pale pale msaada wenu wakuu kwa anayejua/kufahamu

NOTE: sio kila anayetumia insta ni kwa mambo ya kipuuzi
(kujihami mijona)
Screenshot_20191001-180533.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom