digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,479
- 23,290
Kivipi Mkuu,Mimi nilidhani mtoto hufuata kwa mama/babaNdio mkuu inawezekana.
Umeloga kesho aende kwa Wakili amuombe kibali cha kupima DNAMama grp O vs baba grp B
Double allele kwa mama ni OO na kwa baba ni BB au OB
Kama double allele za baba ni BB na kwa mama ni OO inategemewa mtoto arithi B mojawapo ya baba na O moja ya mama na grp la mtoto litakua ni OB ambalo ni group B coz allele B ni dominant over allele O (recessive) au group
Kama double allele za baba alizorithi mtoto ni OB na allele za mama ni OO then possible group za watoto zitakua ni O na B
Kwa theory hii haitushuhudii uwezekano wazaz wa group O na B kupata mtoto wa group A au AB
.
.
.
Blood groups zinaweza kusema kama mtoto sio wako lkn haziwez kuthibitisha kama kweli mtoto wa baba husika
.
.
Kwa case yako I hv no comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifuatilia sana utaishiwa kusumbuka na mwsho wa siku DNA watatoa matokeo yatakayolinda ndoa yenu ili kuepusha kutelekezwa watotoUmeloga kesho aende kwa Wakili amuombe kibali cha kupima DNA
😂😂😂😂😂Kuna viumbe huwa mnatafuta presha kwa lazima.
Inashangaza kwa kweli kaambiwa group za damu zimetofautiana kapaniki akiambiwa mtoto sio wako stoke inapiga hodi kwenye mwili wake.😂😂😂😂😂
hahahahaaInashangaza kwa kweli kaambiwa group za damu zimetofautiana kapaniki akiambiwa mtoto sio wako stoke inapiga hodi kwenye mwili wake.
Asante kwa chai nakushaur wapeleke watoto shule wawe wajanja kama ww ili waje kutuchoraHamjambo waungwana,?naomba kuwasilisha maada.
Wakuu kuna jambo linanitatiza kidogo,Niko katika ndoa kwa miaka kumi sasa nikiwa na watoto wawili.
Kiufupi Mimi huwa napenda sana kujua afya ya familia Yangu,hivyo hunilazimu kupima Mara kwa Mara
Juzi nilienda kupima blood group(kundi la damu) ya katoto kangu ka pili ambako ni kakiume ,Mimi group langu la damu ni B+ wakati la mama watoto ni 0+ ,sasa mtoto yeye baada ya kupimwa ilionekana kuwa ni AB+,
Je wataalamu Wa haya masuala hili jambo linawezekana kwa wazazi kuwa na kundi tofauti la damu na mtoto wao?
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama grp O vs baba grp B
Double allele kwa mama ni OO na kwa baba ni BB au OB
Kama double allele za baba ni BB na kwa mama ni OO inategemewa mtoto arithi B mojawapo ya baba na O moja ya mama na grp la mtoto litakua ni OB ambalo ni group B coz allele B ni dominant over allele O (recessive) au group
Kama double allele za baba alizorithi mtoto ni OB na allele za mama ni OO then possible group za watoto zitakua ni O na B
Kwa theory hii haitushuhudii uwezekano wazaz wa group O na B kupata mtoto wa group A au AB
.
.
.
Blood groups zinaweza kusema kama mtoto sio wako lkn haziwez kuthibitisha kama kweli mtoto wa baba husika
.
.
Kwa case yako I hv no comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa chai nakushaur wapeleke watoto shule wawe wajanja kama ww ili waje kutuchora
Sent using Jamii Forums mobile app
Navyokumbuka genetics ya kitamboo enzii hizo...Mama grp O vs baba grp B
Double allele kwa mama ni OO na kwa baba ni BB au OB
Kama double allele za baba ni BB na kwa mama ni OO inategemewa mtoto arithi B mojawapo ya baba na O moja ya mama na grp la mtoto litakua ni OB ambalo ni group B coz allele B ni dominant over allele O (recessive) au group
Kama double allele za baba alizorithi mtoto ni OB na allele za mama ni OO then possible group za watoto zitakua ni O na B
Kwa theory hii haitushuhudii uwezekano wazaz wa group O na B kupata mtoto wa group A au AB
.
.
.
Blood groups zinaweza kusema kama mtoto sio wako lkn haziwez kuthibitisha kama kweli mtoto wa baba husika
.
.
Kwa case yako I hv no comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu n kwamba unajua sana ila unatuchora tu kwa jins swal lilivokaa