Wakuu Msaada wakuu

Maelezo yako hayajajitosheleza, kwani kwa mtazamo wa haraka inaonyesha wewe kilichokuogopesha ni usista du wake.
 
Kumbe ndio maana unashauri mwenzako "agonge tu katoto" kwasababu we kutongoza huwezi? Hamia mtaani kwa babaTina urahisishiwe mambo.
 
Sio usisita wake mdomo mzito. Lizzy hajakosea. Yote ya yote nipeni mbinu (maujanja)
 
Kumbe ndio maana unashauri mwenzako "agonge tu katoto" kwasababu we kutongoza huwezi? Hamia mtaani kwa babaTina urahisishiwe mambo.

Kapagawa kusikia katoto kana shanga za kumwaga .........
 
Humu ukiona wanachelewa wahi VETA mbona hiyo fani ina mwaka wa 3! Tangu izinduliwe!
 
mi ni kijana wa kiume sijaooa. Ila kuna dada namzimia naomba mbinu za kumtokea. ni sista duu ile mbaya

kuna swali ambalo umeulizwa na Afrodenzi.....................mbona hulijibu kwanza?
 
Mdanganyika ni muhimu kujua kua usipende kutongoza wanawake just because kakuvutia na ni Sister du' Hapo tu yaonesha kama vile waona kabisa yupo juu ya level yako... Hivi umejiuliza kukubali kwa huyo dada kuingia kwenye mahusiano ni mambo gani watakiwa ujiandae kuweza himili shida zake? Na je do you think wamuweza.... Yaani do you think you will blend na she is the one for you? Maana from what and how I understand kama ni KWELI sisiter do' then you have a long safari.... Sio tu katika kutongoza bali hata katika mahusiano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom