Wakuu msaada Tafadhali dogo kachaguliwa combination ya CBG

Wakuu msaada Tafadhali dogo kachaguliwa combination ya CBG

Xiao qui shui

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
6,477
Reaction score
11,368
Wasalaam wakuu,

Poleni na uchovu wa kazi😓😓😓.

Ngoja niende kwenye point, iko Hivi dogo amechaguliwa combination ya CBG na nimeskia kwamba imetolewa kwenye coarse za afya.

Je, akisoma hiyo combination chuo atasomea course kama zipi?

Nawasilisha!!!!🙉🙉🙉🙉
 
Wasalaam wakuu,

Poleni na uchovu wa kazi[emoji29][emoji29][emoji29].

Ngoja niende kwenye point, iko Hivi dogo amechaguliwa combination ya CBG na nimeskia kwamba imetolewa kwenye coarse za afya.

Je, akisoma hiyo combination chuo atasomea course kama zipi?

Nawasilisha!!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Kozi ya afya atakayo soma ni ile ya maafisa afya tu zingine asahau.

Pia kwa kombi hiyo acheki sua na udsm kuna kozi nyingi sana kama nutrition,food science,biotechnology,molecular biology,agriculture na nyinginezo nyingi.

Wajuzi watakujuza zaidi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huyo mdogo wako mpaka amechaguliwa hiyo combination ambayo bila shaka pia aliijaza ktk fomu hata kama haikuwa chaguo la kwanza,

Kuna kitu pia alifikiria kichwan mwake kwamba nikipata CBG nitasoma kozi hii ili niwe mtu flan mbele ya safar, so ni vyema pia kumuulizia yeye binafsi, alipendelea nn inawezekana hata maswala ya afya hayupo interested nayo zaid kutaka kusomea mambo mengine ya sayansi ambayo anayoyapenda ila kuna presha tu ya kifamilia lazima asomee Afya!

Trust me kuna watu wametoboa kozi zingine za Sayansi tena nyingi tu zaid ya maswala ya Afya!

So kaeni chini na dogo angalien options mlizokuwa nazo mezan pamoja naye anachokipendelea, naamin mtatoka na jibu zuri!
 
Wasalaam wakuu,

Poleni na uchovu wa kazi[emoji29][emoji29][emoji29].

Ngoja niende kwenye point, iko Hivi dogo amechaguliwa combination ya CBG na nimeskia kwamba imetolewa kwenye coarse za afya.

Je, akisoma hiyo combination chuo atasomea course kama zipi?

Nawasilisha!!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Kwanini una msingizia dogo?
 
Back
Top Bottom