wakuu msaada niiokoe hii iphone yangu

wakuu msaada niiokoe hii iphone yangu

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
5,904
Reaction score
4,667
wakuu naomba msaada wenu iphoni yangu ilikuwa instuck na haifanyi chochote zaidi ya kupiga na kupokea tu, nikaamua ku delete all contents" then ikawa haiwaki bali inaishia ku display logo ya "apple" tu. nikapitia post mbambali humu nikafanikiwa kufanya recovery kwa kutumia itunes. lakini nashindwa kuingiza applications ( yaani kuingia itunes store) kwani itunes inaniambia simcard not supported, japo naweza kupiga na kupokea lakini hakuna cha zaidi. nifanyeje wakuu. natanguliza shukurani kwenu!
 
Simu yako ilikuwa jailbroken kuiunlock kwa kuwa ilikuwa locked kwa provider fulani, ulipoirestore jailbreak nayo imepotea simu imerudi kwenye original lock yake.

So kutegemea na ni iPhone ipi na iOS version ipi umerestore uwezo wa kuunlock unatofautiana, tafuta fundi anayeunlock iPhones.
 
Back
Top Bottom