Wataalam laptop yangu imeingia maji kwa bahati mbaya, sasa screen inacheza sana kama imetengeneza mawimbi hivi japokuwa ina function vizuri. Hapo suluhu ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, ila kwa sasa sipo Moshi.Muone jamaa mmoja anajiita IT MAN kama uko moshi ,anapatikana majengo karibu na round abt ya majengo sec
ukweli daima uongo mwiko