Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,255
- 93,779
Sahihi kabisa Kuna watumishi ni tatizo kubwa.Tukisema serikalini kuna upumbavu msibishe, tafitini/ chunguzeni
Inawezekana lkn pia unaweza kusema hivo kumbe ni ka mradi ka mtuMistake ndogo ndogo tu
negligence ya watumishiDogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
Hata Mimi nmewaza hili, nmemuambia akomae nao tuKuna mtu anamuibia kwa style hio ya kuja kusingizia walikosea namba
Afanye nn Mkuu?.negligence ya watumishi
Kwanza, Ofisa Utumishi wake ni wa hovyo.Dogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
ni kweli kuna watu wanacheza na fursaKuna mtu anamuibia kwa style hio ya kuja kusingizia walikosea namba
Mkuu mifumo yetu inabadilishwa kila kukicha, hatupo Consistency.Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Sio kuna upumbavu bali kuna UPUMBAVU MWINGITukisema serikalini kuna upumbavu msibishe, tafitini/ chunguzeni
AiseeMkuu mifumo yetu inabadilishwa kila kukicha, hatupo Consistency.
Bank wanafanya miamala kulingana na Account number, na huwa hamna control ya Jina. Ni taasisi chache ambazo document zao kwenye malipo ili Pesa iweze kuingia ni LAZIMA Jina na Account number vifanane.
Serikalini hili ni tatizo ambalo HAWATAKI kulitatua kwakua kuna wajanja wanapiga pesa kupitia hii mbinu miaka nenda miaka rudi. Mfano Jina la mfanyakazi Carlos, account inasoma AISHA na pesa inaenda.
JAPO KWA DOGO HAPO NADHANI NI MAKOSA TU YALITOKEA, Level za chini huko sio rahisi sana kupiga kwa njia hio unayofikiri.
Mimi nilijua shida iko kwenye kupata hizo ajira 🙌🏼Kumbe hadi ukipata unapitia msotoDogo (mtoto wa Bro ) anamiezi mitatu ya Ajira Mpya bila kupokea Mshahara.
Katika jitihada za kujua nini sababu, akagundua akaunti Namba iliyowekwa kupokea Mshahara, sio yakwake .
Na anadai kwenye kureport walikua wanapeleka kilakitu Kwa Nakala ,hivo sio rahisi kusema kwamba labda aliandika namba ya kaunti mwenyewe Kwa kunikosea.
Zaidi japo sijaielewa hii imekaaje, anasema Mishahara yake inaonekana inaingia yaan kwenye Mfumo anaonekana mshahara unalipwa vizur, ila haupati yeye kwakua Akaunti namba sio yake.
Ofisi ya utumishi wamedai inawezekana wao ndio walikosea kuingiza namba hiyo.
Ushauri nilompa, nikuandika Barua Kwa DED akimuomba uchunguzi wa suala Hilo.
Je GT, Kwa scenario kama hii, sio kwamba Dogo alikua anapigwa ?? Inawezekana vipi Hazina kuruhusi mishahara kuingia katika akaunti ambayo haiendani na Taarifa za Dogo?
Je haya sio mambo ya Akaunti hewa Enzi za JPM??.
Je achukue hatua gan?.
Usichukie sana, ushauri mzuri.Aende mahakama ya kazi mkoani na vielelezo vyote!asihangaike na maafisa utumishi watamsumbua sana jamaa!!
Nenda na vielelezo uwaeleze umefanya KAZI Bure halafu wakulipe Hela zote walizochukuae
Hawatoboi washenzi hao!!
Nimechukia sana aiseh!!
Mistake ndogo ndogo tu