mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 758
- 280
Kwa heshima na taadhima napenda kuwasalimu wana JF wote mnaopatikana Iringa leo naingia Iringa hivyo kwa member aliyepo mjini si vibaya japo tukaonana na kubadilishana mawazo mawili matatu nawatakia siku njema.
Thx.
Thx.