both teams to score-YES
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 964
- 1,849
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.
Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.
WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.