Wakuu mbona mnatupiga magoli ya mbali?

Wakuu mbona mnatupiga magoli ya mbali?

mchajikobe

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
2,678
Reaction score
1,279
Mzee invisible na wenzako poleni sana kwa shuguli nyingi za kuifanya hii forum iexist,lakini kuna kitu ambacho kinanishangaza kuhusu status yangu,nakumbuka last time nilipo visit hii forum yetu,nilikuwa thanked mara nyingi na thanx zangu zilikuwa za kutosha,lakini kinachonishangaza leo naona zero kote,haya sio magori ya mbali wakuu?Au kuna mtu ameshapewa ushindi wa mezani?poa lakini i wont give up ila nilitaka kuwa alert tuu wakuu!!!
 
Tunakuomba radhi, ilisababishwa na matatizo ya kukatika umeme mara kwa mara
 
yaaani hizo thanked zimekwapuliwa kwa watu wote ..chrispin zilikuwa za kifisadi ooh🙂🙂
 
Chriss,kupotea kwa thanks kuna uhusiano na kukatika umeme?

Sasa kama unabisha sema wewe imesababishwa na nini? Na ulivyokuwa mchoyo wa kugonga thanks, afadhali zimetolewa.
 
yaaani hizo thanked zimekwapuliwa kwa watu wote ..chrispin zilikuwa za kifisadi ooh🙂🙂

Wamejua uchoyo wako wa kuzigonga, wakaamua wafanye kaufisadi ngoma iwe droo. Bado nusu saa, angalia muda wako watu wameshafika kijiweni wanataka misosi.
 
Wamejua uchoyo wako wa kuzigonga, wakaamua wafanye kaufisadi ngoma iwe droo. Bado nusu saa, angalia muda wako watu wameshafika kijiweni wanataka misosi.
ndio najiandaa kuanza kugawa menu kwa wateja wangu karibu
 
hii poa sana nashukuru Mods maana sasa ngoma droo, haiwezekani mimi nilikuwa sina hata moja halafu wengime waNA 100000
 
Sasa kama unabisha sema wewe imesababishwa na nini? Na ulivyokuwa mchoyo wa kugonga thanks, afadhali zimetolewa.
Acha munkari swahiba,huenda jamaa waliamua kustandardize,lakini tusubiri majibu toka kwao!!
 
moderator ondoa na posts kabisa tuanze upya bana.
 
Thanks ni appreciation kwa mtoa maoni au maada. Sasa kama zinafutwa sijajuwa lengo ni nini. Lakini inawezekana kuna matatizo fulani fulani ndio maana zikaenda 0.
 
Back
Top Bottom