Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka
Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu
Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya ROMA

Niamini mkuu angawa sana namba mpaka anakeraMpaka nakuonea huruma
Anagawa namba mbele yako au ulijuaje kuwa anagawa nambari hovyo?
Kila nikiongea naye hanielewi kabisa zaidi ya kujichekesha chekesha na hivi vidimpozi vyakeCha kufanya ni wewe kuongea nae na kumweleza ni namna gani haupendi hiyo tabia.
Baada ya hapo akiendelea ndio utafute njia nyingine.
Huyu anatoka kabila moja na baba jescaKabila gani kwanza tuanzie hapo?
Afadhari hawa NIDA wanagawa namba baada hata ya mwezi lakini huyu ke wangu haichukui hata dakika 2 kumuomba nambaTuwekee picha yake tumthaminise kwanza!
Kugawa namba siyo tatizo, hata nida wanagawa namba.
Huyu mwanamke nina miezi kama 10 toka nimuoe lakini ameonesha tabia ambayo imeanza kunitia sana mashaka
Huyu mwanamke ana kajitabia ka kucheka cheka sana na kila mtu na kugawagawa sana namba yake ya simu
Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya ROMA
Mpango wangu nataka nimuanzishie dozi ya makofi nione kama itasaidiaJibu la swali lako ni kuwa una mke na siyo mume. Kuhusu tabia yake, mvumilie tu na kumwelekeza atabadilika tu. Bado hajajitambua kuwa kaolewa.
Huyu anatoka kabila moja na baba jesca
Naombeni ushauri nimfanyeje huyu shemeji yenu aache hii tabia yake mbovu ambayo kiukweli inanikela sana na naona asipoiacha naweza kufanya kama alivyofanya ROMA
Kwani nimemfungia kama mama jesca anavyofungiwaTabia mbovu ni hiyo ya kwako ya kuwa na wivu wa kijinga mkuu!
Samahani mkuu nilikuwa namaanisha STAMINA sio ROMARoma amefanya nini kwani?
Bagwell