anavyoongea nahisi harufu ya mshamba..kama wale watani zangu wasukuma....anakuja na laki moja anakupa alafu anasema...NIPE KIATU CHA LAKI MOJA....kati ya vile anavyoviona, kumbe vinauzwa alfu kumi na tano...mchaga anachofanya ni kuchukua ile laki moja alafu anampa kiatu cha alfu ishirini, anamrudishia alfu kumi anabaki nayo tisini akisema nimekupunguzia alfu kumi nzima....msukuma anafurahiiii, anaondoka kwa shukrani kwenda kuuza ng'ombe wengine ili anunue suti ya laki mbili (wakati bei halisi ni alfu hamsini)..hahahah.