Wakuu. Kimenuka wapi?

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,601
Wakuu. Naona magari yamesheheni FFU na washawasha yote yanawasha vimulimuli maeneo ya kilwa road wamepaki Puma. Naona kama wako tayari na Hii barabara ya Kilwa magari yote kwenda mjini yamezuiwa. wenye taarifa tujuze plz
 
Chezeiya idleness weye!!!?? Nendeni shule ndugu zetu waleeeee! Maana sasa hivi hata kama ni wahuni wanafanya fujo, mnaonekana ni nyie tu!! Haya mwenye kujua atujuze.
 
Leo tunanaandamana, tunataka kumpelekea mwali Ponda akamfaidi huko aliko
 
Tupeni tarifa kamili maana wale wakule zmz siukouko?
 
Isije ikawa wanaandamana kumpelekea sheikh Ponda ubwabwa nyama.muda wa msosi unakaribia.
 
Ili iweje? Fanya kazi acha kuwaza ujinga. Huna jambo la kuulizia zaidi ya fujo?
 
Nasikia mjini Mwakyembe anataka kubomoa mjumba yawezekana ndo zoezi linachukuliwa tahadhari!! rushanju
 
Last edited by a moderator:
Chezeiya idleness weye!!!?? Nendeni shule ndugu zetu waleeeee! Maana sasa hivi hata kama ni wahuni wanafanya fujo, mnaonekana ni nyie tu!! Haya mwenye kujua atujuze.

Wewe shule umekwenda? Nenda kwanza wewe.
 
mi nawashukuru waandamanaji kwa kua angalau wanawapa polisi kazi za kufanya sio wanalipwa mishahara tu wanakaa vituoni wanapiga stori angalau saivi wanaonekana kufanya kazi
 
Wewe shule umekwenda? Nenda kwanza wewe.

Join Date : 18th October 2012
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 0

Tutegemee .................................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…