Wakuu. Kimenuka wapi?

Wakuu. Kimenuka wapi?

Vimulimuli kila kona!! Polisi piga shaba hao!! Wana Boko Haramu wakubwa hao!!


Wakimalizana na hao wanaamia kwenye maandamano yetu ya chama!Tena kule huwa wanarusha na vitu vyenyencha kali (flying objects).Kumbuka hawajabadirika ni walewale tu!
 
Nawewe ni great thinker? Fikiri kabla huja andika, au mwali mwenyewe ndo wewe nn?
???????????????!!!!!!!!!!!! great thinker hutofautisha mzaha na kuwa serious, chonde chonde.
 
Aaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!! labda dogo aliekojolea kageuka mjusi ndo wanaenda kumwangalia
 
Uzi umejaaa ushambenga. Hakuna updates.....NEEEEXT!
 
Back
Top Bottom