Wakuu kazi ya usalama wa taifa ipoje?

Wakuu kazi ya usalama wa taifa ipoje?

mpaka hapo ushakosa sifa za kuwa usalama wa taifa
1;umekuja kujitangaza hapa badala ya kufatilia kwa chini chini(kumbuka ulisabimit majina na mambo mengi mengi kwa mods)
2;unaonesha ni muoga sana hata mkeo akikunyima unyumba kwa kukuuliza nani alimjeruhi ulimboka utamtaja hata kama ni rafiki yako
3; ushaanza kuchunguzwa kwa nini unataka kujua
4; katika kazi zinazohitaji umakini ni hilo lakini naona unandika kifesibuku fesibuku
5;haya mambo ya sistm yaache kama yalivyo yaani kwenu hakuna hata mtu aliyewahi kuwa hata askari magereza sembuse mwenyekiti wa mtaa unazani wewe utaamka asubuhi tu uwe usalama wa taifa
6;nishakuona huna roho mbaya kazi hii haihitaji umayai mayai
7;kama ndoto yako ni hii basi sidhani kama huu ni wito wako
 
Hawa jamaa sijui vp nimeshafanya usaili lakini wakanitosa kazi sijui kuna mtoto wa kigogo alichukua nafasi yangu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hakafu uvccm wote huwa wanajazwa ujinga kuwa et wao ndo usalama wa taifa teh teh
 
Back
Top Bottom