Au naongopa?Dah[emoji1][emoji1][emoji1]
Mshana Jr! Hivi miaka 60 si unakuwa huwezi tendo, na huna option?[emoji1][emoji2][emoji1][emoji2]Ungemlipia na kumpa na ya bodaboda juu..Ila kama angeomba namba ungemtolea nje kama hana
Iko hivi wanasema muombee mbaya wako aishi siku nyingi ili aje ayaone mafanikio yako
Hii msg ya huyu mwana hapa chini imenipa mawazo sana.. Imagine ndio wewe sasa uje ukutane naye baada ya miaka kadhaa..
NB: Wanaume hatuna visasi kwa wanawake...kwakuwa bado tuna options hata tukigonga 60 ...lakini wao[emoji848][emoji2984][emoji1550][emoji1550][emoji1550]View attachment 1883903
Mimi au?Acha ujinga basi
Mpaka 70 una option ya kuopoa kinda la 20years chuchu konzi, paja V mbinuko, kishudu umbo la chungu laini kama mapupu, kipochi manyoya mnaso.. mnato...! Sio break P[emoji31]Mshana Jr! Hivi miaka 60 si unakuwa huwezi tendo, na huna option?
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.
Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.
Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.
Mambo ya kizamani hayo, unamlipia tu, nafsi yake inakwenda kumsuta mbele ya safariSasa sio kwangu mkuu! Niletee ukuda ni lazima ulipe, haijalishi ni me au ke!
Hakuna namna kama viongozi wao wa chama ndio kama hao....Mwanachama mwaminifu wa UWABATA[emoji41]
[emoji851][emoji851][emoji851] tuache!!Hakuna namna kama mwenyekiti wa chama ndio huyo...View attachment 1884135
I am sorry boss, mimi bado ninayo hayo mambo ya zamani na siwezi kuacha. Shida yangu sio ajifunze kwa kumuonesha mema, bali nilipe sawa sawa na alichofanya, basi.Mambo ya kizamani hayo, unamlipia tu, nafsi yake inakwenda kumsuta mbele ya safari
HujakoseaJuzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.
Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.
Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.
Ankal[emoji1][emoji2][emoji851]
Si pesa yakeDemu unamkazia sh.100