Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.
Ikaja zamu ya konda kuomba nauli kwake, akaniambia kwa mapozi "Joh nilipie nimepelea shilingi mia tu", nikamjibu kwa mkato na ustaarabu, sina pesa nilikuwa na nauli yangu tu, wakati alishaniona nahesabu pesa muda mfupi uliopita.
Basi akaomba omba sana kwa konda na konda, konda hakumuelewa, na mwisho aliamua kulipa nauli yote. Alipofika kituo chake akashuka na kuniaga " bye", ila hakuonesha uchangamfu, ni kama alijilazimisha kuniaga. Je, nilikosea wakuu? Nawasilisha! Mshana Jr natambua uwepo wako.